Ayubu 33:20
kiasi kwamba maisha yake yenyewe yanakataa chakula 2 nayo nafsi yake ikakichukia kabisa hata chakula kizuri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So that his life abhorreth bread, and his soul dainty meat.
In Context
19Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, 2 kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake, 1
Cross References
Job 3:24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; 2 kusononeka kwangu kunamwagika kama maji. 1
Psalms 107:18Wakachukia kabisa vyakula vyote, 2 wakakaribia malango ya mauti. 1
Amos 5:11Mnamgandamiza maskini 2 na kumlazimisha awape nafaka. 1 Kwa hiyo, ingawa mmejenga majumba ya mawe ya fahari, 2 hamtaishi ndani yake; 1 ingawa mmepanda mashamba mazuri ya mizabibu, 2 hamtakunywa divai yake. 1