Job 3:8
Wale wazilaanio siku wailaani hiyo siku, 2 wale walio tayari kumwamsha Lewiathani. + 3:8 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let them curse it that curse the day, who are ready to raise up their mourning.
In Context
7Usiku ule na uwe tasa; 2 sauti ya furaha na isisikike ndani yake. 1
Cross References
2 Chronicles 35:25Nabii Yeremia akatunga maombolezo kwa ajili ya kifo chake, nao waimbaji wote, wanaume kwa wanawake, hufanya ukumbusho wa Yosia katika maombolezo hadi leo. Haya yakafanywa desturi katika Israeli, nayo yameandikwa katika Maombolezo.
Job 41:10Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. 2 Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? 1
Jeremiah 9:17Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Fikiri sasa! Waite wanawake waombolezao waje, 2 waite wale walio na ustadi kuliko wote. 1
Matthew 11:17“ ‘Tuliwapigia filimbi, 2 lakini hamkucheza; 1 tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, 2 lakini hamkuomboleza.’