Ayubu 30:26
Lakini nilipotazamia mema, mabaya yalinijia; 2 nilipotafuta nuru, ndipo giza lilipokuja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When I looked for good, then evil came unto me: and when I waited for light, there came darkness.
In Context
27Kusukwasukwa ndani yangu kamwe hakutulii; 2 siku za mateso zinanikabili. 1
Cross References
Job 3:25Lile nililokuwa naliogopa limenijia; 2 lile nililokuwa ninalihofia limenipata. 1
Job 18:18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani, 2 naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 1
Job 23:17Hata hivyo sijanyamazishwa na giza, 2 wala kwa giza nene linalofunika uso wangu.
Psalms 97:11Nuru huangaza wenye haki 2 na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 1
Isaiah 59:9Hivyo uadilifu uko mbali nasi, 2 nayo haki haitufikii. 1 Tunatazamia nuru, kumbe! Yote ni giza, 2 tunatazamia mwanga, lakini tunatembea katika giza kuu. 1
Jeremiah 14:19Je, umemkataa Yuda kabisa? 2 Umemchukia Sayuni kabisa? 1 Kwa nini umetuumiza 2 hata hatuwezi kuponyeka? 1 Tulitarajia amani, 2 lakini hakuna jema lililotujia; 1 tulitarajia wakati wa kupona 2 lakini kuna hofu kuu tu. 1