Ayubu 30:27
Kusukwasukwa ndani yangu kamwe hakutulii; 2 siku za mateso zinanikabili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My bowels boiled, and rested not: the days of affliction prevented me.
In Context
26Lakini nilipotazamia mema, mabaya yalinijia; 2 nilipotafuta nuru, ndipo giza lilipokuja. 1
28Ninazunguka nikiwa nimeungua, lakini si kwa jua; 2 ninasimama katika kusanyiko nikiomba msaada. 1
Cross References
Psalms 22:4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, 2 walikutumaini nawe ukawaokoa. 1
Jeremiah 4:19Ee mtima wangu, mtima wangu! 2 Ninagaagaa kwa maumivu. 1 Ee maumivu makuu ya moyo wangu! 2 Moyo wangu umefadhaika ndani yangu, 2 siwezi kunyamaza. 1 Kwa sababu nimesikia sauti ya tarumbeta, 2 nimesikia kelele ya vita. 1
Lamentations 1:20“Angalia, Ee Bwana, jinsi nilivyo katika dhiki! 2 Nina maumivu makali ndani yangu, 1 nami ninahangaika moyoni mwangu, 2 kwa kuwa nimekuwa mwasi sana. 1 Huko nje, upanga unaua watu, 2 ndani, kipo kifo tu. 1