The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 1 › Maombolezo 1:20

Maombolezo 1:20

“Angalia, Ee Bwana, jinsi nilivyo katika dhiki! 2 Nina maumivu makali ndani yangu, 1 nami ninahangaika moyoni mwangu, 2 kwa kuwa nimekuwa mwasi sana. 1 Huko nje, upanga unaua watu, 2 ndani, kipo kifo tu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, O LORD; for I am in distress: my bowels are troubled; mine heart is turned within me; for I have grievously rebelled: abroad the sword bereaveth, at home there is as death.

In Context

19“Niliita washirika wangu 2 lakini walinisaliti. 1 Makuhani wangu na wazee wangu 2 waliangamia mjini 1 walipokuwa wakitafuta chakula 2 ili waweze kuishi. 1

21“Watu wamesikia ninavyolia kwa uchungu, 2 lakini hakuna yeyote wa kunifariji. 1 Adui zangu wote wamesikia juu ya dhiki yangu, 2 wanafurahia lile ulilolitenda. 1 Naomba uilete siku uliyoitangaza 2 ili wawe kama mimi. 1

Read all of Maombolezo 1

Cross References

Leviticus 26:40“ ‘Lakini kama watatubu dhambi zao na dhambi za baba zao, udanganyifu wao dhidi yangu na uadui wao kwangu,

1 Kings 8:47na kama watabadilika mioyo yao katika nchi wanakoshikiliwa mateka, nao wakatubu na kukulilia katika nchi ya wale waliowashinda na kusema, ‘Tumetenda dhambi, tumefanya makosa, tumetenda uovu’;

Job 33:27Ndipo huja mbele za watu na kusema, 2 ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, 2 lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 1

Psalms 51:3Kwa maana ninajua makosa yangu, 2 na dhambi yangu iko mbele yangu daima. 1

Isaiah 16:11Moyo wangu unaomboleza kwa ajili ya Moabu kama kinubi, 2 nafsi yangu yote kwa ajili ya Kir-Haresethi. 1

Jeremiah 2:35unasema, ‘Sina hatia; 2 Mungu hajanikasirikia.’ 1 Lakini nitakuhukumu kwa sababu unasema, 2 ‘Mimi sijatenda dhambi.’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 1:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 1:19Maombolezo 1Maombolezo 1:21 →