Ayubu 31:27
hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri, 2 au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And my heart hath been secretly enticed, or my mouth hath kissed my hand:
In Context
26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake 2 au mwezi ukienda kwa fahari yake, 1
Cross References
Deuteronomy 11:16Jihadharini, la sivyo mtashawishika kugeuka na kuabudu miungu mingine na kuisujudia.
1 Kings 19:18Hata sasa nimeweka akiba watu elfu saba katika Israeli, wote ambao hawajampigia Baali magoti, na wote ambao midomo yao haijambusu.” 1 Wito Wa Elisha
Isaiah 44:20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1
Hosea 13:2Sasa wanatenda dhambi zaidi na zaidi; 2 wanajitengenezea sanamu 2 kutokana na fedha yao, 1 vinyago vilivyotengenezwa kwa uhodari, 2 vyote kazi ya fundi stadi. 1 Inasemekana kuhusu hawa watu, 2 “Hutoa dhabihu za binadamu 2 na kubusu sanamu za ndama.” 1
Romans 1:28Nao kwa kuwa hawakuona umuhimu wa kudumisha ufahamu wa Mungu, yeye akawaachilia wafuate akili za upotovu, watende mambo yale yasiyostahili kutendwa.