Ayubu 31:36
Hakika ningeyavaa begani mwangu, 2 ningeyavaa kama taji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Surely I would take it upon my shoulder, and bind it as a crown to me.
In Context
37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, 2 ningemwendea kama mwana wa mfalme.) 1
Cross References
Job 29:14Niliivaa haki kama vazi langu; 2 uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 1
Isaiah 62:3Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa Bwana, 2 taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako. 1