Ayubu 31:37
Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, 2 ningemwendea kama mwana wa mfalme.) 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I would declare unto him the number of my steps; as a prince would I go near unto him.
In Context
36Hakika ningeyavaa begani mwangu, 2 ningeyavaa kama taji. 1
38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, 2 na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, 1
Cross References
Genesis 32:28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, + 32:28 Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu. kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”
Job 9:3Ingawa mtu angetaka kushindana naye, 2 asingaliweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja. 1
Job 14:16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu, 2 lakini hutazifuatia dhambi zangu. 1
Job 42:3Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’ 2 Hakika nilisema juu ya mambo niliyokuwa siyaelewi, 2 mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua. 1
Ephesians 3:12Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri.
1 John 3:19Basi hivi ndivyo tutakavyoweza kujua ya kuwa sisi tu wa kweli na hivyo twaithibitisha mioyo yetu mbele za Mungu