Job 31:39
kama nimekula mazao yake bila malipo, 2 au kuvunja mioyo ya wapangaji wake, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, 2 na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, 1
40basi miiba na iote badala ya ngano, 2 na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa maneno ya Ayubu.
Cross References
1 Kings 21:13Kisha watu wawili wabaya kabisa wakaja wakaketi mkabala naye, nao wakaleta mashtaka dhidi ya Nabothi mbele ya watu, wakisema, “Nabothi amemlaani Mungu na mfalme.” Kwa hiyo wakamtoa nje na kumpiga kwa mawe hadi akafa.
Proverbs 1:19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; 2 huuondoa uhai wa wale wenye mali. 1 Onyo Dhidi Ya Kukataa Hekima 1
Jeremiah 22:13“Ole wake yeye ajengaye jumba lake la kifalme kwa njia ya dhuluma, 2 vyumba vyake vya juu kwa udhalimu, 1 akiwatumikisha watu wa nchi yake pasipo malipo, 2 bila kuwalipa kwa utumishi wao. 1
Ezekiel 22:12Ndani yako watu hupokea rushwa ili kumwaga damu, mnapokea riba na faida ya ziada na kupata faida isiyokuwa halali kutoka kwa jirani ili kupata faida kubwa kupita kiasi. Nawe umenisahau mimi, asema Bwana Mwenyezi.