Ayubu 31:40
basi miiba na iote badala ya ngano, 2 na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa maneno ya Ayubu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let thistles grow instead of wheat, and cockle instead of barley. The words of Job are ended.
In Context
39kama nimekula mazao yake bila malipo, 2 au kuvunja mioyo ya wapangaji wake, 1
Cross References
Genesis 3:17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1
Job 31:22basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu, 2 nao na uvunjike kutoka kiungio chake. 1
Isaiah 7:23Katika siku ile, kila mahali palipokuwa na mizabibu elfu moja yenye thamani ya shekeli 1,000 + 7:23 Shekeli 1,000 ni kama kilo 11.5. za fedha, patakuwa na michongoma na miiba tu.
Malachi 1:3lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”