Ayubu 31:5
“Kama nimeishi katika uongo 2 au mguu wangu umekimbilia udanganyifu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If I have walked with vanity, or if my foot hath hasted to deceit;
In Context
4Je, yeye hazioni njia zangu 2 na kuihesabu kila hatua yangu? 1
6Mungu na anipime katika mizani za uaminifu, 2 naye atajua kwamba sina hatia: 1
Cross References
Joshua 22:22“Yeye Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana! Yeye Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana! Yeye anajua! Israeli na wajue! Kama huu umekuwa ni uasi au kukosa utii kwa Bwana, msituache hai siku hii ya leo.
Psalms 7:3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya 2 na kuna hatia mikononi mwangu, 1
Psalms 26:4Siketi pamoja na watu wadanganyifu, 2 wala siandamani na wanafiki, 1
Proverbs 12:11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 1
Ezekiel 13:8“ ‘Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa sababu ya uongo wa maneno yenu na kwa madanganyo ya maono yenu, Mimi ni kinyume na ninyi, asema Bwana Mwenyezi.