Malachi 1:3
lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I hated Esau, and laid his mountains and his heritage waste for the dragons of the wilderness.
In Context
Cross References
Deuteronomy 21:15Kama mwanaume ana wake wawili, naye anampenda mmoja na mwingine hampendi na wote wawili wamemzalia wana wa kiume, lakini mwana mzaliwa wa kwanza ni wa yule mke asiyempenda,
Isaiah 34:9Vijito vya Edomu vitageuka kuwa lami, 2 mavumbi yake yatakuwa kiberiti kiunguzacho, 2 nchi yake itakuwa lami iwakayo! 1
Isaiah 34:14Viumbe vya jangwani vitakutana na fisi, 2 nao mbuzi-mwitu watalia wakiitana; 1 huko viumbe vya usiku vitastarehe pia 2 na kujitafutia mahali pa kupumzika. 1
Jeremiah 9:11“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu, 2 makao ya mbweha; 1 nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa 2 ili asiwepo atakayeishi humo.”
Jeremiah 49:10Lakini nitamvua Esau nguo abaki uchi, 2 nitayafunua maficho yake, 2 ili asiweze kujificha. 1 Watoto wake, jamaa na majirani wataangamia, 2 naye hatakuwepo tena. 1
Jeremiah 51:37Babeli utakuwa lundo la magofu 2 na makao ya mbweha, 1 kitu cha kutisha na kudharauliwa, 2 mahali asipoishi mtu. 1