Proverbs 12:11
Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake, 2 bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili. 1
12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya, 2 bali shina la mwenye haki hustawi. 1
Cross References
Genesis 3:19Kwa jasho la uso wako 2 utakula chakula chako 1 hadi utakaporudi ardhini, 2 kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, 1 kwa kuwa wewe u mavumbi 2 na mavumbini wewe utarudi.”
Psalms 26:4Siketi pamoja na watu wadanganyifu, 2 wala siandamani na wanafiki, 1
Proverbs 1:10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, 2 usikubaliane nao. 1
Proverbs 6:32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; 2 yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. 1
Proverbs 9:6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; 2 tembeeni katika njia ya ufahamu. 1
Proverbs 9:16Anawaambia wale wasio na akili, 2 “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” 1