Proverbs 16:31
Mvi ni taji ya utukufu; 2 hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The hoary head is a crown of glory, if it be found in the way of righteousness.
In Context
30Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu; 2 naye akazaye midomo yake amenuia mabaya. 1
Cross References
Leviticus 19:32“ ‘Uwapo mbele ya mzee, simama ili kuonyesha heshima kwa wazee, nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.
1 Chronicles 29:10Daudi akamhimidi Bwana mbele ya kusanyiko lote, akisema: 1 “Uhimidiwe wewe, Ee Bwana, 2 Mungu wa Israeli baba yetu, 2 tangu milele hata milele. 1
Job 41:32Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; 2 mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. 1
Proverbs 17:6Wana wa wana ni taji la wazee, 2 nao wazazi ni fahari ya watoto wao. 1
Ecclesiastes 4:13Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo.
Luke 1:6Zekaria na Elizabeti mkewe wote walikuwa watu wanyofu mbele za Mungu, wakizishika amri zote za Bwana na maagizo yote bila lawama.