Ayubu 33:11
Ananifunga miguu kwa pingu, 2 tena anaziangalia njia zangu zote kwa karibu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He putteth my feet in the stocks, he marketh all my paths.
In Context
10Lakini bado Mungu amepata dosari kwangu, 2 naye ananiona kama adui yake. 1
Cross References
Job 13:27Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. 2 Unazichunga kwa makini njia zangu zote 2 kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu. 1
Job 31:4Je, yeye hazioni njia zangu 2 na kuihesabu kila hatua yangu? 1
Jeremiah 20:2akaamuru Yeremia nabii apigwe na kufungwa kwenye mkatale katika Lango la Juu la Benyamini huko Hekaluni la Bwana.
Acts 16:24Kufuata maelekezo haya, yule mkuu wa gereza akawaweka katika chumba cha ndani sana mle gerezani, na akawafunga miguu yao kwa minyororo.