Ayubu 33:14
Kwa kuwa Mungu husema, wakati huu kwa njia moja, 2 au wakati mwingine kwa njia nyingine, 2 ingawa mwanadamu anaweza asielewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For God speaketh once, yea twice, yet man perceiveth it not.
In Context
13Kwa nini unamlalamikia 2 kwamba yeye hamjibu mwanadamu? 1
Cross References
Job 4:13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, 2 hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, 1
Job 40:5Nimesema mara moja, lakini sina jibu; 2 naam, nimesema mara mbili, 2 lakini sitasema tena.”
Psalms 62:12na kwamba, Ee Bwana, 2 wewe ni mwenye upendo. 1 Hakika utampa kila mtu thawabu 2 kwa kadiri ya alivyotenda.
Proverbs 1:29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1
Matthew 13:14Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema: 1 “ ‘Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; 2 na pia mtatazama lakini hamtaona. 1
Luke 24:25Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii!