Ayubu 40:5
Nimesema mara moja, lakini sina jibu; 2 naam, nimesema mara mbili, 2 lakini sitasema tena.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Once have I spoken; but I will not answer: yea, twice; but I will proceed no further.
In Context
4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? 2 Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 1
6Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli: 1
Cross References
Job 9:3Ingawa mtu angetaka kushindana naye, 2 asingaliweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja. 1
Job 33:14Kwa kuwa Mungu husema, wakati huu kwa njia moja, 2 au wakati mwingine kwa njia nyingine, 2 ingawa mwanadamu anaweza asielewe. 1
Psalms 62:11Jambo moja Mungu amelisema, 2 mambo mawili nimeyasikia: 1 kwamba, Ee Mungu, 2 wewe una nguvu, 1
Romans 3:19Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.