The Bible Software
bible.softwareJobJob 33 › Job 33:21

Job 33:21

Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, 2 nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, 2 sasa inatokeza nje. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

His flesh is consumed away, that it cannot be seen; and his bones that were not seen stick out.

In Context

20kiasi kwamba maisha yake yenyewe yanakataa chakula 2 nayo nafsi yake ikakichukia kabisa hata chakula kizuri. 1

22Nafsi yake inakaribia kaburi, 2 nao uhai wake karibu na wajumbe wa kifo. 1

Read all of Job 33

Cross References

Job 13:28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, 2 kama vazi lililoliwa na nondo.

Job 14:22Yeye hasikii kingine isipokuwa maumivu ya mwili wake mwenyewe, 2 naye huomboleza kwa ajili yake mwenyewe.”

Job 19:20Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; 2 nimeponea nikiwa karibu kufa. 1

Psalms 32:3Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa 2 kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa. 1

Psalms 102:3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, 2 mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 33:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 33:20Job 33Job 33:22 →