Ayubu 33:28
Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, 2 nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He will deliver his soul from going into the pit, and his life shall see the light.
In Context
29“Mungu hufanya haya yote kwa mwanadamu; 2 mara mbili hata mara tatu, 1
Cross References
Job 3:16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, 2 kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 1
Job 17:16Je, litashuka chini hadi kwenye malango ya mauti? + 17:16 Malango ya mauti hapa ina maana ya Kuzimu. 2 Je, tutashuka pamoja mavumbini?”
Job 33:18kuiokoa nafsi yake na shimo, 2 uhai wake usiangamizwe kwa upanga. 1
Job 33:22Nafsi yake inakaribia kaburi, 2 nao uhai wake karibu na wajumbe wa kifo. 1
Psalms 49:19atajiunga na kizazi cha baba zake, 2 ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 1
Psalms 69:15Usiache mafuriko yanigharikishe 2 au vilindi vinimeze, 2 au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu. 1