Ayubu 33:4
Roho wa Mungu ameniumba; 2 pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The Spirit of God hath made me, and the breath of the Almighty hath given me life.
In Context
3Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; 2 midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. 1
5Unijibu basi, kama unaweza; 2 jiandae kunikabili mimi. 1
Cross References
Job 10:3Je, inakupendeza wewe kunionea, 2 kuikataa kwa dharau kazi ya mikono yako, 2 huku wewe ukitabasamu juu ya mipango ya waovu? 1
Job 27:3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, 2 nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, 1
Psalms 33:6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, 2 jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 1
Romans 8:2Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima katika Kristo Yesu imeniweka huru mbali na sheria ya dhambi na mauti.