Ayubu 34:6
Ingawa niko sawa, 2 ninaonekana mwongo; 1 nami ingawa sina kosa, 2 kidonda changu hakiponi.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Should I lie against my right? my wound is incurable without transgression.
In Context
5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia, 2 lakini Mungu ameninyima haki yangu. 1
7Ni mtu gani aliye kama Ayubu, 2 anywaye dharau kama maji? 1
Cross References
Job 16:13wapiga upinde wake wananizunguka. 2 Bila huruma, huchoma figo zangu, 2 na kuimwaga nyongo yangu juu ya nchi. 1
Job 33:9‘Mimi ni safi na sina dhambi; 2 mimi ni safi na sina hatia. 1