Job 16:13
wapiga upinde wake wananizunguka. 2 Bila huruma, huchoma figo zangu, 2 na kuimwaga nyongo yangu juu ya nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Huniponda tena na tena; 2 hunishambulia kama shujaa wa vita. 1
Cross References
Genesis 49:23Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia, 2 wakampiga mshale kwa ukatili. 1
Job 6:4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, 2 roho yangu inakunywa sumu yake; 2 vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 1
Job 19:27mimi nitamwona kwa macho yangu mwenyewe: 2 mimi, wala si mwingine. 2 Tazama jinsi moyo wangu unavyomtamani sana! 1
Psalms 7:12Kama hakutuhurumia, 2 atanoa upanga wake, 2 ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 1
Lamentations 3:13Alinichoma moyo wangu kwa mishale 2 iliyotoka kwenye podo lake. 1
Romans 8:32Ikiwa Mungu hakumhurumia Mwanawe, bali alimtoa kwa ajili yetu sote, atakosaje basi kutupatia vitu vyote kwa ukarimu pamoja naye?