Ayubu 36:3
Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, 2 nami nitamhesabia haki Muumba wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will fetch my knowledge from afar, and will ascribe righteousness to my Maker.
In Context
Cross References
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Job 28:20“Ni wapi basi hekima itokako? 2 Ufahamu hukaa wapi? 1
Job 32:8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu, 2 pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 1
Job 34:10“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. 2 Kamwe Mungu hatendi uovu, 2 Mwenyezi hafanyi kosa. 1
Psalms 11:7Kwa kuwa Bwana ni mwenye haki, 2 yeye hupenda haki. 2 Wanyofu watauona uso wake.
Proverbs 2:4na kama utaitafuta kama fedha 2 na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 1