The Bible Software
bible.softwareJobJob 36 › Job 36:2

Job 36:2

“Nivumilie kidogo zaidi nami nitakuonyesha 2 kwamba yako mengi zaidi ya kusemwa kwa ajili ya Mungu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Suffer me a little, and I will shew thee that I have yet to speak on God’s behalf.

In Context

1Elihu akaendelea kusema: 1

3Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, 2 nami nitamhesabia haki Muumba wangu. 1

Read all of Job 36

Cross References

Exodus 4:16Aroni ataongea na watu badala yako na itakuwa kwamba yeye amekuwa kinywa chako nawe utakuwa kama Mungu kwake.

Job 21:3Nivumilieni ninapozungumza, 2 nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 1

Job 33:31“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; 2 nyamaza, nami nitanena. 1

Ezekiel 2:7Wewe lazima uwaambie maneno yangu, ikiwa wanasikiliza au hawasikilizi, kwa kuwa wao ni watu waasi.

Hebrews 13:22Ndugu zangu, nawasihi mchukuliane na maneno yangu ya maonyo, kwa kuwa nimewaandikia waraka mfupi tu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 36:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 36:1Job 36Job 36:3 →