The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 36 › Ayubu 36:30

Ayubu 36:30

Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, 2 naye huvifunika vilindi vya bahari. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, he spreadeth his light upon it, and covereth the bottom of the sea.

In Context

29Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, 2 jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. 1

31Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, 2 na kuwapa chakula kwa wingi. 1

Read all of Ayubu 36

Cross References

Genesis 1:9Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo.

Exodus 14:28Maji yakarudiana na kuyafunika magari ya vita na wapanda farasi pamoja na jeshi lote la Farao lililokuwa limewafuata Waisraeli ndani ya bahari. Hakuna hata mmoja wao aliyenusurika.

Job 38:8“Ni nani aliyeifungia bahari milango 2 ilipopasuka kutoka tumbo, 1

Job 38:34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, 2 na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 1

Psalms 104:2Amejifunika katika nuru kama vile kwa vazi, 2 amezitandaza mbingu kama hema 1

Luke 17:24Kwa maana kama vile umeme wa radi umulikavyo katika anga kuanzia mwisho mmoja hadi mwingine, ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu katika siku yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 36:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 36:29Ayubu 36Ayubu 36:31 →