The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 38 › Ayubu 38:34

Ayubu 38:34

“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, 2 na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Canst thou lift up thy voice to the clouds, that abundance of waters may cover thee?

In Context

33Je, unajua sheria zinazotawala mbingu? 2 Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani? 1

35Je, wewe hutuma umeme wa radi kwenye njia zake? 2 Je, hutoa taarifa kwako kukuambia, ‘Sisi tuko hapa’? 1

Read all of Ayubu 38

Cross References

Job 22:11ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona, 2 tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. 1

Amos 5:8(yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni, 2 ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko 2 na mchana kuwa usiku, 1 ambaye huyaita maji ya bahari 2 na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: 2 Bwana ndilo jina lake; 1

James 5:18Kisha akaomba tena, nazo mbingu zikatoa mvua nayo ardhi ikatoa mazao yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 38:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 38:33Ayubu 38Ayubu 38:35 →