The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 36 › Ayubu 36:8

Ayubu 36:8

Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, 2 wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And if they be bound in fetters, and be holden in cords of affliction;

In Context

7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; 2 huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme 2 na kuwatukuza milele. 1

9huwaonyesha yale waliyoyatenda, 2 kwamba wametenda dhambi kwa majivuno. 1

Read all of Ayubu 36

Cross References

Job 19:6basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, 2 naye amekokota wavu wake kunizunguka. 1

Psalms 18:5Kamba za kuzimu zilinizunguka, 2 mitego ya mauti ilinikabili. 1

Psalms 116:3Kamba za mauti zilinizunguka, 2 maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, 2 nikalemewa na taabu na huzuni. 1

Lamentations 3:9Ameizuia njia yangu kwa mapande ya mawe, 2 amepotosha njia zangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 36:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 36:7Ayubu 36Ayubu 36:9 →