Ayubu 36:9
huwaonyesha yale waliyoyatenda, 2 kwamba wametenda dhambi kwa majivuno. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then he sheweth them their work, and their transgressions that they have exceeded.
In Context
8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, 2 wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 1
10Huwafanya wao kusikia maonyo, 2 na huwaagiza kutubu uovu wao. 1
Cross References
2 Chronicles 33:11Hivyo Bwana akaleta juu yao majemadari wa jeshi la mfalme wa Ashuru, ambao walimchukua Manase kwenda kifungoni, wakaweka ndoana katika pua yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Job 10:2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1
Psalms 5:10Uwatangaze kuwa wenye hatia, Ee Mungu! 2 Hila zao ziwe anguko lao wenyewe. 1 Wafukuzie mbali kwa sababu ya dhambi zao nyingi, 2 kwa kuwa wamekuasi wewe. 1
Psalms 119:67Kabla sijapata shida nilipotea njia, 2 lakini sasa ninalitii neno lako. 1
Isaiah 59:12Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako, 2 na dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu. 1 Makosa yetu yako pamoja nasi daima, 2 nasi tunayatambua maovu yetu: 1
Ezekiel 18:28Kwa kuwa anayafikiria na kugeuka kutoka makosa yake yote aliyoyatenda na kuyaacha, hakika ataishi, hatakufa.