The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 37 › Ayubu 37:16

Ayubu 37:16

Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, 2 hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Dost thou know the balancings of the clouds, the wondrous works of him which is perfect in knowledge?

In Context

15Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, 2 na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga? 1

17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako 2 wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, 1

Read all of Ayubu 37

Cross References

Job 36:4Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo; 2 mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe. 1

Psalms 104:2Amejifunika katika nuru kama vile kwa vazi, 2 amezitandaza mbingu kama hema 1

Psalms 147:5Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, 2 ufahamu wake hauna kikomo. 1

Isaiah 40:22Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 37:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 37:15Ayubu 37Ayubu 37:17 →