Ayubu 37:18
je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, 2 zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hast thou with him spread out the sky, which is strong, and as a molten looking glass?
In Context
19“Tuambieni yatupasayo kumwambia; 2 hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 1
Cross References
Genesis 1:6Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.”
Job 9:8Yeye peke yake huzitandaza mbingu 2 na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 1
Psalms 148:4Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana, 2 na ninyi maji juu ya anga. 1
Proverbs 8:27Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, 2 wakati alichora mstari wa upeo wa macho 3 juu ya uso wa kilindi, 1
Isaiah 40:22Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1