Ayubu 37:19
“Tuambieni yatupasayo kumwambia; 2 hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Teach us what we shall say unto him; for we cannot order our speech by reason of darkness.
In Context
20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? 2 Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa? 1
Cross References
Job 12:3Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; 2 mimi si duni kwenu. 2 Ni nani asiyejua mambo haya yote? 1
Job 13:6Sikieni sasa hoja yangu; 2 sikilizeni kusihi kwangu. 1
Job 28:20“Ni wapi basi hekima itokako? 2 Ufahamu hukaa wapi? 1
Job 40:4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? 2 Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 1
Psalms 73:16Nilipojaribu kuelewa haya yote, 2 yalikuwa magumu kwangu kuelewa. 1
Psalms 139:6Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, 2 ni ya juu sana kwangu kuyafikia. 1