Ayubu 37:24
Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, 2 kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Men do therefore fear him: he respecteth not any that are wise of heart.
In Context
Cross References
Psalms 33:8Dunia yote na imwogope Bwana, 2 watu wote wa dunia wamche. 1
Ecclesiastes 9:11Nimeona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Si wenye mbio washindao mashindano 2 au wenye nguvu washindao vita, 1 wala si wenye hekima wapatao chakula 2 au wenye akili nyingi wapatao mali, 1 wala wenye elimu wapatao upendeleo, 2 lakini fursa huwapata wote.
Jeremiah 5:22Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. 2 “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? 1 Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, 2 kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. 1 Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; 2 yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 1
Jeremiah 33:9Kisha mji huu utaniletea utukufu, furaha, sifa na heshima mbele ya mataifa yote ya dunia yatakayosikia mambo yote mazuri ninayoufanyia. Nao watashangaa na kutetemeka kwa ajili ya wingi wa mafanikio na amani nitakayoupatia.’
Jonah 1:16Katika jambo hili watu wakamwogopa Bwana sana, wakamtolea Bwana dhabihu na kumwekea nadhiri.
Matthew 11:25Wakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.