Ayubu 37:4
Baada ya hayo huja sauti ya ngurumo yake; 2 Mungu hunguruma kwa sauti yake ya fahari. 1 Wakati sauti yake ingurumapo tena, 2 huuachilia umeme wake wa radi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote 2 na kuupeleka hata miisho ya dunia. 1
5Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu; 2 yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu. 1
Cross References
Exodus 15:7Katika ukuu wa utukufu wako, 2 ukawaangusha chini wale waliokupinga. 1 Uliachia hasira yako kali, 2 ikawateketeza kama kapi. 1
Job 28:26alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua 2 na njia kwa ajili ya umeme wa radi, 1
Job 40:9Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1
Psalms 29:3Sauti ya Bwana iko juu ya maji; 2 Mungu wa utukufu hupiga radi, 2 Bwana hupiga radi juu ya maji makuu. 1