The Bible Software
bible.softwarePsalmsPsalms 104 › Psalms 104:21

Psalms 104:21

Simba hunguruma kwa mawindo yao, 2 na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The young lions roar after their prey, and seek their meat from God.

In Context

20Unaleta giza, kunakuwa usiku, 2 wanyama wote wa mwituni huzurura. 1

22Jua huchomoza, nao huondoka, 2 hurudi na kulala katika mapango yao. 1

Read all of Psalms 104

Cross References

Job 38:41Ni nani ampaye kunguru chakula 2 wakati makinda yake yanamlilia Mungu, 2 yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?

Psalms 145:15Macho yao wote yanakutazama wewe, 2 nawe huwapa chakula chao wakati wake. 1

Isaiah 31:4Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Kama vile simba angurumavyo, 2 simba mkubwa juu ya mawindo yake: 1 hata ingawa kundi lote la wachunga mifugo 2 huitwa pamoja dhidi yake, 1 hatiwi hofu na kelele zao 2 wala kusumbuliwa na ghasia zao; 1 ndivyo Bwana Mwenye Nguvu Zote atakavyoshuka 2 kufanya vita juu ya Mlima Sayuni 2 na juu ya vilele vyake. 1

Joel 1:18Jinsi gani ngʼombe wanavyolia! 2 Makundi ya mifugo yanahangaika 1 kwa sababu hawana malisho; 2 hata makundi ya kondoo yanateseka. 1

Joel 2:22Msiogope, enyi wanyama pori, 1 kwa kuwa mbuga za malisho yenu 2 zinarudia ubichi. 1 Miti nayo inazaa matunda, 2 mtini na mzabibu inatoa utajiri wake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Psalms 104:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Psalms 104:20Psalms 104Psalms 104:22 →