The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 10 › Yeremia 10:13

Yeremia 10:13

Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma; 2 huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia. 1 Hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua, 2 naye huuleta upepo kutoka ghala zake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When he uttereth his voice, there is a multitude of waters in the heavens, and he causeth the vapors to ascend from the ends of the earth; he maketh lightnings with rain, and bringeth forth the wind out of his treasures.

In Context

12Lakini Mungu aliiumba dunia kwa uweza wake, 2 akaweka misingi ya ulimwengu kwa hekima yake, 2 na akazitandaza mbingu kwa ufahamu wake. 1

14Kila mmoja ni mjinga na hana maarifa, 2 kila sonara ameaibishwa na sanamu zake. 1 Vinyago vyake ni vya udanganyifu, 2 havina pumzi ndani yavyo. 1

Read all of Yeremia 10

Cross References

Exodus 9:23Mose alipoinyoosha fimbo yake kuelekea angani, Bwana akatuma ngurumo na mvua ya mawe, umeme wa radi ulimulika hadi nchi. Kwa hiyo Bwana akaifanya mvua ya mawe kunyesha juu ya nchi ya Misri,

1 Kings 18:41Eliya akamwambia Ahabu, “Nenda, ukale na kunywa, kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa.”

Job 36:27“Yeye huvuta juu matone ya maji, 2 ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 1

Job 38:22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, 2 au kuona ghala za mvua ya mawe, 1

Job 38:26ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, 2 jangwa lisilo na yeyote ndani yake, 1

Psalms 18:13Bwana alinguruma kutoka mbinguni, 2 sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 10:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 10:12Yeremia 10Yeremia 10:14 →