Ayubu 38:33
Je, unajua sheria zinazotawala mbingu? 2 Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Knowest thou the ordinances of heaven? canst thou set the dominion thereof in the earth?
In Context
32Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake, 2 au kuongoza Dubu na watoto wake? 1
34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, 2 na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 1
Cross References
Genesis 1:16Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota.
Job 38:12“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, 2 au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake, 1
Psalms 148:6Aliviweka mahali pake milele na milele, 2 alitoa amri ambayo haibadiliki milele. 1
Jeremiah 33:25Hili ndilo asemalo Bwana: ‘Kama sijathibitisha agano langu na usiku na mchana, na kuziweka wakfu sheria za mbingu na nchi,