Ayubu 38:35
Je, wewe hutuma umeme wa radi kwenye njia zake? 2 Je, hutoa taarifa kwako kukuambia, ‘Sisi tuko hapa’? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Canst thou send lightnings, that they may go, and say unto thee, Here we are?
In Context
34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, 2 na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 1
36Ni nani aliyeujalia moyo hekima 2 au kuzipa akili ufahamu? 1
Cross References
Exodus 9:29Mose akamjibu, “Nitakapokuwa nimetoka nje ya mji, nitanyoosha mikono yangu juu kumwomba Bwana. Ngurumo zitakoma na hapatakuwepo mvua ya mawe tena, ili upate kujua kuwa, nchi ni mali ya Bwana.
Numbers 11:1Basi watu wakalalamika kwa habari ya taabu zao masikioni mwa Bwana, naye alipowasikia, hasira yake ikawaka. Ndipo moto kutoka kwa Bwana ukawaka miongoni mwao na kuteketeza baadhi ya viunga vya kambi.
1 Samuel 22:12Sauli akasema, “Sikiliza sasa, mwana wa Ahitubu.” Akajibu, “Naam, bwana wangu.”
2 Kings 1:14Tazama, moto umeshuka kutoka mbinguni na kuwateketeza wale wakuu wa vikosi viwili vya kwanza pamoja na watu wao. Lakini sasa niachie uhai wangu!”
Job 37:3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote 2 na kuupeleka hata miisho ya dunia. 1
Isaiah 65:1“Nilijifunua kwa watu wale ambao hawakuniulizia. 2 Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta. 1 Kwa taifa lile ambalo halikuliita Jina langu, 2 nilisema, ‘Niko hapa, niko hapa.’ 1