Proverbs 27:8
Kama ndege atangatangavyo mbali na kiota chake, 2 ndivyo alivyo mtu atangatangaye 2 mbali na nyumbani mwake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As a bird that wandereth from her nest, so is a man that wandereth from his place.
In Context
Cross References
Genesis 4:16Kwa hiyo Kaini akaondoka mbele za Bwana akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, iliyoko mashariki ya Edeni.
1 Samuel 22:5Ndipo nabii Gadi akamwambia Daudi, “Usikae ngomeni. Nenda katika nchi ya Yuda.” Hivyo Daudi akaondoka na kwenda katika msitu wa Herethi. 1 Sauli Awaua Makuhani Wa Nobu
1 Kings 11:22Farao akauliza, “Umekosa nini hapa, kwamba unataka kurudi katika nchi yako?” Hadadi akajibu, “Hakuna, lakini niruhusu niende!”
Nehemiah 6:11Lakini nikasema, “Je, mtu kama mimi akimbie? Au mtu kama mimi aende Hekaluni kuokoa maisha yake? Sitakwenda!”
Proverbs 21:16Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, 2 hupumzika katika kundi la waliokufa. 1
Isaiah 16:2Kama ndege wanaopapatika 2 waliofukuzwa kutoka kwenye kiota, 1 ndivyo walivyo wanawake wa Moabu 2 kwenye vivuko vya Arnoni. 1