Job 9:3
Ingawa mtu angetaka kushindana naye, 2 asingaliweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If he will contend with him, he cannot answer him one of a thousand.
In Context
2“Naam, najua hili ni kweli. 2 Lakini mwanadamu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 1
4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1
Cross References
Job 9:20Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu; 2 kama sikuwa na kosa, kingenitangaza kuwa mwenye hatia. 1
Job 10:2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1
Job 31:35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! 2 Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: 2 Mwenyezi na anijibu; 1 mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 1
Job 34:14Kama lilikuwa kusudi la Mungu, 2 naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 1
Job 40:2“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha? 2 Mwenye kumlaumu Mungu na ajibu.”
Psalms 40:12Kwa maana taabu zisizo na hesabu zimenizunguka, 2 dhambi zangu zimenikamata, hata nisiweze kuona. 1 Zimekuwa nyingi kuliko nywele za kichwa changu, 2 nao moyo unazimia ndani yangu. 1