The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 42 › Ayubu 42:3

Ayubu 42:3

Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’ 2 Hakika nilisema juu ya mambo niliyokuwa siyaelewi, 2 mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who is he that hideth counsel without knowledge? therefore have I uttered that I understood not; things too wonderful for me, which I knew not.

In Context

2“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, 2 wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika. 1

4“Ulisema, ‘Sikiliza sasa, nami nitanena; 2 nitakuuliza swali, nawe yakupasa kunijibu.’ 1

Read all of Ayubu 42

Cross References

Job 11:9Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, 2 nacho ni kipana kuliko bahari. 1

Job 38:2“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza 2 kwa maneno yasiyo na maarifa? 1

Psalms 131:1Moyo wangu hauna kiburi, Ee Bwana, 2 macho yangu hayajivuni; 1 sijishughulishi na mambo makuu kunizidi 2 wala mambo ya ajabu mno kwangu. 1

Proverbs 30:2“Mimi ni mjinga kuliko wanadamu wote; 2 sina ufahamu wa kibinadamu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 42:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 42:2Ayubu 42Ayubu 42:4 →