The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 43 › Isaiah 43:13

Isaiah 43:13

Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. 1 Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa 2 kutoka mkononi wangu. 1 Mimi ninapotenda, 2 ni nani awezaye kutangua?” 1 Huruma Za Mungu, Na Kukosa Uaminifu Kwa Israeli 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yea, before the day was I am he; and there is none that can deliver out of my hand: I will work, and who shall let it?

In Context

12Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: 2 Mimi, wala si mungu mgeni katikati yenu. 1 Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana, 2 “kwamba Mimi ndimi Mungu. 2

14Hili ndilo Bwana asemalo, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Kwa ajili yenu nitatumana Babeli 2 na kuwaleta Wakaldayo wote kama wakimbizi, 2 katika meli walizozionea fahari. 1

Read all of Isaiah 43

Cross References

Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1

Job 9:12Anapochukua kwa ghafula, ni nani awezaye kumzuia? 2 Ni nani awezaye kumwambia, ‘Unafanya nini?’ 1

Job 34:14Kama lilikuwa kusudi la Mungu, 2 naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 1

Psalms 50:22“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, 2 ama sivyo nitawararua vipande vipande, 2 wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa: 1

Psalms 93:2Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani; 2 wewe umekuwako tangu milele. 1

Proverbs 8:23niliteuliwa tangu milele, 2 tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 43:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 43:12Isaiah 43Isaiah 43:14 →