Ayubu 42:6
Kwa hiyo najidharau mwenyewe, 2 na kutubu katika mavumbi na majivu.” 1 Mwisho: Marafiki Wa Ayubu Wanafedheheshwa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore I abhor myself, and repent in dust and ashes.
In Context
5Masikio yangu yalikuwa yamesikia habari zako, 2 lakini sasa macho yangu yamekuona. 1
Cross References
1 Kings 21:27Ahabu aliposikia maneno haya, akararua nguo zake, akavaa nguo za gunia na kufunga. Akalala na kujifunika nguo za gunia na kwenda kwa unyenyekevu.
Esther 4:1Mordekai alipojua yote yaliyokwisha kufanyika, alirarua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia na kujipaka majivu, akaenda mjini, akiomboleza kwa sauti na kwa uchungu.
Job 9:31wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi 2 kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana. 1
Job 40:3Ndipo Ayubu akamjibu Bwana: 1
Psalms 51:17Bali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika, 2 moyo uliovunjika wenye toba, 2 Ee Mungu, hutaudharau. 1
Isaiah 58:5Je, hii ndiyo aina ya mfungo niliouchagua, 2 siku moja tu ya mtu kujinyenyekeza? 1 Je, ni kwa kuinamisha kichwa chini kama tete, 2 na kwa kujilaza juu ya nguo ya gunia na majivu? 1 Je, huo ndio mnaouita mfungo, 2 siku iliyokubalika kwa Bwana? 1