The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 6 › Ayubu 6:24

Ayubu 6:24

“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya; 2 nionyesheni nilikokosea. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Teach me, and I will hold my tongue: and cause me to understand wherein I have erred.

In Context

23au niokoeni mikononi mwa adui, 2 au nikomboeni kutoka makucha ya wasio na huruma’? 1

25Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! 2 Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? 1

Read all of Ayubu 6

Cross References

Job 10:2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1

Job 32:11Nilingojea mlipokuwa mnaongea, 2 nilizisikiliza hoja zenu; 1 mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema, 2

Job 33:1“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; 2 zingatia kila kitu nitakachosema. 1

Job 34:32Nifundishe nisichoweza kuona; 2 kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’ 1

Psalms 32:8Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; 2 nitakushauri na kukuangalia. 1

Proverbs 9:9Mfundishe mtu mwenye hekima 2 naye atakuwa na hekima zaidi; 1 mfundishe mtu mwadilifu 2 naye atazidi kufundishika. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 6:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 6:23Ayubu 6Ayubu 6:25 →