Ayubu 9:17
Yeye angeniangamiza kwa dhoruba 2 na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he breaketh me with a tempest, and multiplieth my wounds without cause.
In Context
16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali, 2 siamini kama angenisikiliza. 1
18Asingeniacha nipumue 2 bali angenifunika kabisa na huzuni kuu. 1
Cross References
Job 2:3Bwana akamwambia Shetani, “Je, umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Hakuna mtu mwingine duniani aliye kama yeye, mtu asiye na hatia, ni mnyofu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu. Naye bado anadumisha uadilifu wake, ingawa ulinichochea dhidi yake, ili nimwangamize pasipo sababu.”
Job 2:13Kisha wakaketi chini kwenye udongo pamoja na Ayubu kwa siku saba usiku na mchana. Hakuna yeyote aliyesema naye neno, kwa sababu waliona jinsi mateso yake yalivyokuwa makubwa.
Job 16:12Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; 2 amenikamata shingo na kuniponda. 2 Amenifanya mimi kuwa shabaha yake; 1
Job 16:17Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, 2 na maombi yangu ni safi. 1
Job 30:22Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo; 2 umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali. 1
Job 34:6Ingawa niko sawa, 2 ninaonekana mwongo; 1 nami ingawa sina kosa, 2 kidonda changu hakiponi.’ 1