Ayubu 26:7
Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; 2 naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He stretcheth out the north over the empty place, and hangeth the earth upon nothing.
In Context
8Huyafungia maji kwenye mawingu yake, 2 hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. 1
Cross References
Job 9:8Yeye peke yake huzitandaza mbingu 2 na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 1
Psalms 89:13Mkono wako umejaa uwezo; 2 mkono wako una nguvu, 2 mkono wako wa kuume umetukuzwa. 1
Proverbs 8:23niliteuliwa tangu milele, 2 tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 1
Isaiah 40:22Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1
Isaiah 42:5Hili ndilo asemalo Mungu, Bwana, 2 yeye aliyeziumba mbingu na kuzitanda, 1 aliyeitandaza dunia na vyote vitokavyo humo, 2 awapaye watu wake pumzi, 2 na uzima kwa wale waendao humo: 1