Ayubu 9:7
Husema na jua, nalo likaacha kuangaza; 2 naye huizima mianga ya nyota. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which commandeth the sun, and it riseth not; and sealeth up the stars.
In Context
6Aitikisa dunia kutoka mahali pake 2 na kuzifanya nguzo zake zitetemeke. 1
8Yeye peke yake huzitandaza mbingu 2 na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 1
Cross References
Joshua 10:12Katika siku ile ambayo Bwana aliwapeana Waamori kwa Israeli, Yoshua akanena na Bwana akiwa mbele ya Waisraeli akasema: 1 “Wewe jua, simama juu ya Gibeoni, 2 wewe mwezi, tulia juu ya Bonde la Aiyaloni.” 1
Job 37:7Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake, 2 yeye humzuilia kila mtu shughuli zake. 1
Job 38:19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? 2 Nako maskani mwa giza ni wapi? 1
Ezekiel 32:7Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu 2 na kuzitia nyota zake giza; 1 nitalifunika jua kwa wingu, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake. 1
Amos 4:13Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo, 2 na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu, 1 yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza, 2 na kukanyaga mahali pa juu pa nchi: 2 Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Matthew 24:29“Mara baada ya dhiki ya siku zile, 1 “ ‘jua litatiwa giza, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake; 1 nazo nyota zitaanguka kutoka angani, 2 na nguvu za anga zitatikisika.’