Joel 1:6
Taifa limevamia nchi yangu, 2 lenye nguvu tena lisilo na idadi; 1 lina meno ya simba, 2 magego ya simba jike. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 30:14wale ambao meno yao ni panga 2 na ambao mataya yao yamewekwa visu 1 kuwaangamiza maskini katika nchi, 2 na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu. 1
Isaiah 8:8na kufika hadi Yuda, yakizunguka kwa kasi juu yake, 2 yakipita katikati na yakifika hadi shingoni. 1 Mabawa yake yaliyokunjuliwa 2 yatafunika upana wa nchi yako, 2 Ee Imanueli!” + 8:8 Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi. 1
Hosea 9:3Hawataishi katika nchi ya Bwana, 2 Efraimu atarudi Misri 1 na atakula chakula 2 kilicho najisi huko Ashuru. 1
Joel 2:25“Nitawalipa kwa ajili ya miaka ile iliyoliwa na nzige: 2 parare, madumadu na tunutu, 1 jeshi langu kubwa ambalo 2 nililituma katikati yenu. 1