The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 2 › Joel 2:32

Joel 2:32

Na kila mtu atakayeliitia 2 jina la Bwana ataokolewa. 1 Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu 2 kutakuwepo wokovu, 2 kama Bwana alivyosema, 1 miongoni mwa walionusurika 2 ambao Bwana awaita.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it shall come to pass, that whosoever shall call on the name of the LORD shall be delivered: for in mount Zion and in Jerusalem shall be deliverance, as the LORD hath said, and in the remnant whom the LORD shall call.

In Context

31Jua litageuzwa kuwa giza 2 na mwezi kuwa mwekundu kama damu, 1 kabla ya kuja siku ya Bwana 2 ile kuu na ya kutisha. 1

Read all of Joel 2

Cross References

Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”

Isaiah 10:22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1

Isaiah 11:16Itakuwepo njia kuu kwa mabaki ya watu wake 2 wale waliosalia kutoka Ashuru, 1 kama ilivyokuwa kwa Israeli 2 walipopanda kutoka Misri.

Isaiah 59:20“Mkombozi atakuja Sayuni, 2 kwa wale wa Yakobo 2 wanaozitubu dhambi zao,” 4 asema Bwana.

Jeremiah 33:3‘Niite nami nitakuitika na kukuambia mambo makuu na yasiyochunguzika, usiyoyajua.’

Obadiah 1:21Waokoaji watakwea juu ya Mlima Sayuni 2 kutawala milima ya Esau. 2 Nao ufalme utakuwa wa Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 2:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 2:31Joel 2