Joel 3:13
Tia mundu, 2 kwa kuwa mavuno yamekomaa. 1 Njooni, mkanyage zabibu, 2 kwa kuwa shinikizo la kukamua zabibu limejaa 2 na mapipa yanafurika: 1 kwa kuwa uovu wao ni mkubwa!” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 13:13Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakifanya sana dhambi dhidi ya Bwana.
Genesis 18:20Basi Bwana akasema, “Kilio dhidi ya Sodoma na Gomora ni kikubwa sana na dhambi yao inasikitisha sana,
Isaiah 63:3“Nimekanyaga shinikizo la zabibu peke yangu; 2 kutoka mataifa hakuna mtu aliyekuwa pamoja nami. 1 Nimewaponda kwa miguu katika hasira yangu 2 na kuwakanyaga chini katika ghadhabu yangu; 1 damu yao ilitia matone kwenye mavazi yangu, 2 na kutia madoa nguo zangu zote. 1
Lamentations 1:15“Bwana amewakataa wapiganaji wa vita 2 wote walio kati yangu, 1 ameagiza jeshi dhidi yangu 2 kuwaponda vijana wangu wa kiume. 1 Katika shinikizo lake la divai Bwana amemkanyaga 2 Bikira Binti Yuda. 1
Matthew 13:39Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika.
Revelation 14:15Kisha malaika mwingine akaja kutoka hekaluni naye akamwita kwa sauti kubwa yule aliyekuwa ameketi juu ya lile wingu akasema, “Chukua mundu wako ukavune kwa kuwa wakati wa mavuno umewadia, kwa maana mavuno ya dunia yamekomaa.”