The Bible Software
bible.softwareYoeliYoeli 3 › Yoeli 3:12

Yoeli 3:12

“Mataifa na yaamshwe; 2 na yasonge mbele kuelekea Bonde la Yehoshafati, 1 kwa kuwa nitaketi mahali pale 2 kuhukumu mataifa yote yaliyoko kila upande. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let the heathen be wakened, and come up to the valley of Jehoshaphat: for there will I sit to judge all the heathen round about.

In Context

11Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote, 2 kusanyikeni huko. 1 Shusha wapiganaji wako, Ee Bwana! 1

13Tia mundu, 2 kwa kuwa mavuno yamekomaa. 1 Njooni, mkanyage zabibu, 2 kwa kuwa shinikizo la kukamua zabibu limejaa 2 na mapipa yanafurika: 1 kwa kuwa uovu wao ni mkubwa!” 1

Read all of Yoeli 3

Cross References

2 Chronicles 20:26Siku ya nne wakakusanyika katika Bonde la Beraka + 20:26 Bonde la Beraka maana yake Bonde la Kusifu. kwa maana huko ndiko walikomsifu Bwana. Ndiyo sababu linaitwa Bonde la Beraka mpaka leo.

Psalms 7:6Amka kwa hasira yako, Ee Bwana, 2 inuka dhidi ya ghadhabu ya adui zangu. 2 Amka, Mungu wangu, uamue haki. 1

Psalms 96:13itaimba mbele za Bwana kwa maana anakuja, 2 anakuja kuihukumu dunia. 1 Ataihukumu dunia kwa haki, 2 na mataifa katika kweli yake.

Psalms 110:5Bwana yuko mkono wako wa kuume, 2 atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake. 1

Isaiah 3:13Bwana anachukua nafasi yake mahakamani, 2 anasimama kuhukumu watu. 1

Ezekiel 39:11“ ‘Siku ile nitampa Gogu mahali pa kuzikia katika Israeli, katika bonde la wale wasafirio upande wa mashariki kuelekea baharini. Jambo hili litazuia njia ya wasafiri kwa sababu Gogu na makundi yake yote ya wajeuri watazikwa huko. Kwa hiyo litaitwa Bonde la Hamon-Gogu. + 39:11 Hamon-Gogu maana yake Makundi ya wajeuri wa Gogu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yoeli 3:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yoeli 3:11Yoeli 3Yoeli 3:13 →